You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Kenya
Ruka sehemu inayofuata Habari Kuu
Habari Kuu
Mafuriko Kenya: KHRC yawashtaki mawaziri watatu kwa uzembe
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi
Ripoti na uchambuzi
Rais wa Kenya William Ruto apendekeza kupandisha kodi
Rais wa Kenya William Ruto apendekeza kupandisha kodi
Zainab Aziz amewakaribisha mezani wachambuzi kuzungumzia mapendekezo ya kupandisha kodi nchini Kenya.
Kenya yakabiliwa na kiunzi kupeleka polisi Haiti
Kenya yakabiliwa na kiunzi kupeleka polisi Haiti
Chama kidogo cha upinzani nchini Kenya kimewasilisha hoja mpya ya kuitaka serikali isiwapeleke polisi nchini Haiti.
Kenya bado yakabiliwa na maporomoko ya ardhi
Kenya bado yakabiliwa na maporomoko ya ardhi
Tumezungumza na afisa wa kitengo cha kushughulikia majanga katika shirika la Msalaba Mwekundu Kenya kuhusu hali ilivyo.
Idadi ya vifo kutokana na mafuriko Kenya yaongezeka hadi 228
Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mafuriko imefikia 228 na wengine 200,000 wameathirika.
Ruto aahidi nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi Kenya
Ruto aahidi nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi Kenya
William Ruto amewataka madaktari kusitisha mgomo wao huku serikali ikijitahidi kutimiza matakwa yao yote siku zijazo.
Ruto aahidi kuhamishwa wananchi ambao wamekumbwa na mafuriko
Ruto aahidi kuhamishwa wananchi ambao wamekumbwa na mafuriko
Akiwa Mai Mahiu ambapo zaidi ya watu 170 walikufa, Rais Ruto amesema wanajeshi watahusika kwenye shughuli za uokozi.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Zoezi la upandaji miti Kenya lan'goa nanga
Mawaziri wengine nao pia waliongoza shughuli za kupanda miti kwenye kaunti zote 47.
Kenya: Mfumo wa elimu na mtihani wa 8-4-4 wafikia kikomo
Mfumo wa elimu wa 8-4-4 nchini Kenya umefikia kikomo huku wanafunzi wa shule za msingi wakifanya mtihani wa mwisho.
Kenya: Upasuaji wa kufunga mirija ya uzazi waongezeka
Ripoti inaonyesha idadi imeongezeka mara dufu hadi wanaume 557 mwaka jana ikilinganishwa 124 mwaka uliotangulia.
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi
Ruka sehemu inayofuata Safari, maisha na zaidi
Safari, maisha na zaidi
Fahamu zaidi kuhusu sarafu za kidijitali
Kuna msisimko mkubwa miongoni mwa vijana kuhusu fursa za kazi mtandaoni, zinazojumuisha sarafu za kidijitali, zikiahidi tija ya haraka na malipo makubwa, lakini nyuma ya pazia hili la kuvutia, kuna changamoto kubwa zinazowosubiri. Fathiya Omar anasema kazi za mtandaoni zina faida kubwa lakini pia zina athari zake. Zaidi sikiliza Makala hii ya vijana tugutuke.
Kwanini mahusiano ya vijana hayadumu kwa muda mrefu?
Ofisi ya kitaifa ya takwimu nchini Kenya imesema nyumba moja kati ya 18 inakumbwa na mgogoro wa kuvunjika kwa ndoa.
Juhudi za serikali ya Kenya kuzalisha dawa zake yenyewe
Ungana na Wakio Mbogho, Ripota wa DW mjini Nakuru, Kenya, katika Makala ya Afya Yako inayomulika jitihada za taifa la Kenya kustawisha uzalishaji wa dawa na bidhaa za matibabu nchini humo.
Matangazo