1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya bado yakabiliwa na maporomoko ya ardhi

Tatu Karema
15 Mei 2024

Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema maafisa wake wanaendeleza juhudi za uokoaji baada ya maporomoko ya ardhi kutokea jana katika bonde la Kimende lililoko katika eneo la kati mwa nchi hiyo ambalo limeshuhudia mvua kubwa. Vennant Ndighila, ni mkuu wa kitengo cha kushughulikia masuala ya majanga katika shirika hilo.

https://p.dw.com/p/4fsPk