You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Tanzania
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi
Ripoti na uchambuzi
Wadau Tanzania wajadili upatikanaji wa katiba mpya
Wadau Tanzania wajadili upatikanaji wa katiba mpya
Wadau hao wamewataka viongozi wa chama tawala na serikali kuonesha kwa dhati kuwa wanaunga mkono madai ya katiba mpya.
Watanzania wafuatilia mafuvu ya mababu zao Berlin
Watanzania wafuatilia mafuvu ya mababu zao Berlin
DW imezungumza na Sindato Philemon Ndesamburo miongoni mwa watanzania 19 walioko Berlin kufuatilia mafuvu ya mababu zao.
Makala yetu leo: Athari za mafuriko nchini Tanzania
Makala yetu leo: Athari za mafuriko nchini Tanzania
Makala Yetu leo inaangalia athari zilizotokana na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko makubwa Tanzania.
Ripoti ya CAG Zanzibar yaonesha dosari matumizi ya umma
Ripoti ya CAG Zanzibar yaonesha dosari matumizi ya umma
Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za visiwani Zanzibar imebainisha kuendelea kwa vitendo vya ufisadi.
Rais Samia azindua mkakati wa nishati safi Tanzania
Rais Samia azindua mkakati wa nishati safi Tanzania
Uzinduzi huo unafanywa katika taifa ambalo limekuwa likikabiliwa mara kwa mara na tatizo la umeme.
Kimbunga Hidaya chaharibu miundombinu Tanzania
Kimbunga Hidaya chaharibu miundombinu Tanzania
Mawasiliano kati ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa iliyopo Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na Ruvuma yamekatika.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Mtazamo wa kina
Mtazamo wa kina
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Mamilioni ya wasichana kila mwaka huathirika na ndoa za utotoni ambazo zinawakosesha haki ya msingi ya elimu, matatizo ya afya ya uzazi pamoja na kukosa malezi ya wazazi wao. Hayo ni maneno ya Jenniffer Fred, mwanaharakati aliyeamua kulivalia njuga na kusambaza elimu ili kutokomeza ndoa za utotoni. Na huyu leo ndio #msichana wetu #jasiri. #msichanajasiri #hakizawatoto #hakiyaelimu
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Kundi la watoto wa mtaani ni kundi ambalo linaendelea kuongezeka kwa kasi huku watoto hawa wakiwa hawana elimu madhubuti kutokana na ukatili wanaokutana nao, lakini juhudi za wanaharakati wa masuala ya kijamii ni zipi katika kuhakikisha kuwa wanalisaidia kundi hili. Jackline Joseph ni mwanaharakati ambaye amejitolea katika kulisaidia watoto katika kuwapatia elimu dhidi ya ukatili.
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Precious ni mwanamuziki chipukizi wa kizazi kipya kutoka Tanzania ambaye Uwezo wake wa kutumbuiza katika majukwaa umempa sababu ya kuwa mfano kwa watoto wengine. Anasema baba yake ndiye aliyempa msukumo mkubwa wa kunoa kipaji chake. #msichanajasiri.
Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
Kuwa shabiki wetu kwenye Facebook, tuchangiane mawazo.
Jielimishe zaidi